Tuesday, June 14, 2011

DROGBA AFUNGA NDOAA UFARANSA


Star wa Chelsea na Ivory Coast,Didier Drogba amefunga ndoa na longtime sweetheart na mama wa watoto wake 3,Lalla Diakite pande za Marie De monaco nchini Ufaransa

1 comment:

Anonymous said...

Side c kama wemafunga ndoa in such,wenzetu wa kristo wana kitu kubariki ndoa,so kwa hao couple its like dat! kwamba Drogba alimuoa huyo wa ubavu wake muda mrefu,lkn baada ya kuona mfuko umekaa vizuri ndo kaamua kufanya hivyo!!!
So hii ni kwa wale wanaojali