Thursday, June 23, 2011

MANAGER WA THE GAME MATATANI


Maneger wa THE GAME Rosemond anaaminika kuwa ni kiongozi wa usambazi wa cocaine na anatuhumiwa kusafirisha mamia ya kilo za cocaine toka Los Angeles kwenda New York kupitia FedEx na UPS tangu mwaka 2008,na wiki iliyopita aliyekuwa mshirika wake Dexter Isaac alifunguka kuwa rap manager na business man huyo alimlipa dola 2,500 ili amwibie Tupac Shakur pande za NY’s Quad Studios mwaka 1994,ambapo 2 Pac alipigwa risasi 5 na kuanza vita na The Notorious B.I.G wakati alikua hahusiki kulikosababisha uhasama kati yao pia Resmond inaaminika kuwa mwaka 2009 alifadhili mauaji ya mshirika wa G-Unit,Lowell Fletcher ROSEMOND SASA AMEKAMATWA NA POLISI

No comments: