Friday, May 6, 2011

SHAGGY KUTIMBA ZANZIBAR 18 JUNE 2011


SHAGGY ANATARAJIWA KUJA ZANZIBAR KATI YA 18-26 June 2011 KATIKA TAMASHA LA ZIFF .. WADAU WA MCHIZI MPO TAYARI KWA SHOW KALI YA DANCE HALL NA MKALI SHAGGY? MPANGO MZIMA NDANI YA ZANZIBAR KATIKA TAMASHA LA ZIFF

1 comment:

Issa Mzee said...

Kama kawa ndani ya ZIFF..! Mpango mzima..! Wish..Dj side we'll be together for fantastic shows..! Waiting for that with great desire...! ONE LUV God bless.